Loading
L o a d i n g . . .

Taasisi za Hajj na Umrah

Zamzam Centre Tanzania

Zamzam Centre Tanzania

Zamzam Centre Tanzania

Contact Now

Kuhusu Taasisi

Zamzam Centre Tanzania ni taasisi yenye uzoefu wa tangu 2011 inayotoa huduma za kusafirisha mahujaji kwa ajili ya Umrah na Hajj, ikiwemo safari za Makkah na Madinah.

Wanajulikana kwa kutoa huduma endelevu kwa mahujaji, huku wakijipanga kusafirisha zaidi ya mahujaji 100 kwa mwaka 2026.

Ofisi za Taasisi

Makao Makuu
Mtaa wa Livingstone na Lindi
Dar es Salaam

Vifurushi vya Hijja na Umrah

Hijja Hajj Package 2026/1447
Hajj Package 2026/1447
Siku 28 6500 USD
  • Tiketi za Ndege
  • Hoteli ya Nyota 3 ndani ya Makkah & Madinah
  • Utalii Madina na Makkah
  • Visa ya Saudia
  • Vyakula
Taarifa Zaidi
Back to List